|
Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake
Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo.
Naked Diamond City Security - Discussion - Nexus Mods Forums
All Diamond City Security Officers are not wearing any armor. some also dont have any weapons and shoot invisible guns.this sometimes happens with raiders as well, but it happens every time with the diamond city crew. i was hoping that someone else had this problem and knew if there was a mod tha...
Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2.7 Bilioni kutumbuiza kwenye ...
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye. Kwa mujibu wa Baba Levo, Diamond amelipwa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 za Kitanzania kwa ajili ya kutumbuiza katika...
Diamond City Crash to Desktop - Discussion - Nexus Mods Forums
When I enter Diamond City it crashes to desktop before I can even do something and I don't know whythings that i know didn't do it are: True Storms, far harbor style commonwealth, Diamond City Expansion, Diamond City Enhanced; because they are compliantly off.
Utajiri wa Diamond Platnumz... - JamiiForums
Huu Ndio Utajiri wa Msanii Diamond Platnumz by Frumence M Kyauke. Nasibu Abdul Juma Issack, almaarufu Diamond Platnumz, ni msanii Afrika mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji vilevile ni msanii tajiri zaidi. Umaarufu wake umeanza kuonekana mwaka 2010 baada ya kuachia albamu kwa jina Kamwambie...
Msanii Diamond afuta post zote za CCM - JamiiForums
Kaondoa hadi post ya kumtakia heri Samia Suluhu kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Ndo kishawasaliti au kanusa kitu mbele?
Je Diamond atakuwa chawa rasmi wa baaba Levo , ikiwa baba levo atapewa ...
Uwezekano wa baba levo kupewa uwaziri wa michezo upo ,iwe kwa kutumia ushawishi wa Diamond au yeye mwenyewe maana uwezo wa kujieleza anao. Sasa swali langu lipo hivi, je Diamond anaweza akawa chawa rasmi wa baba levo kama itatokea baba levo akaukwaa uwaziri?
textures in diamond city disappearing/reappearing? - Discussion - Nexus ...
Hey, so ive been running into this problem where textures in (primarily) diamond city and a few other areas will disappear and reappear at random (the object is still there, just invisible), and it makes it very difficult to walk around diamond city. Ive read on this issue with other people, and ...
Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 ... - JamiiForums
Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio makubwa, Getty Images, imetangaza rasmi kuuza picha moja ya Diamond Platnumz kwa $499 (Tsh Milioni 1.3/=)...
Diamond, freemason siri nje - JamiiForums
Diamond akisalimiana na mtasha kwa ishara ya Kifreemason. Stori: Shakoor Jongo na Erick Evarist SIRI imefichukua kuwa madai kwamba kichaa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa Diamond Platnumz ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason a.k.a Wajenzi Huru zilianza...
|